GLORIOUS ANIMATION

Monday, January 23, 2012

RUMAFRICA FASHION
IMEKULETEA TSHIRT NA MASHATI
BOMBA  KWA WATANASHATI.

HII NI MOJA YA KAZI INAYOFANYWA NA MWANA-GLORIOUS CELEBRATION

Rulea Sanga

MAWASILIANO
+255 75 85 15 23

rumatz2011@yahoo.com

www.rumaafrica.blogspot.com














Sunday, January 22, 2012

GLORIOUS CELEBRATION NDANI YA KANISA LA KKKT MBEZI
JIJINI DAR
Wanamziki wa Glorious Celebration...tukiwa kwenye Huduma Mbezi KKKT.Mungu alitukuzwa mahali pale utukufu wa Mungu ulishuka!!!!!
kutoka kulia ni Davina, Mercy, Angel, Ester, Chaka, Imma Malisa






Friday, January 20, 2012

GLORIOUS CELEBRATION WAKIFANYA KAZI YA BWANA KATIKA KANISA LA CANAAN, UPANGA DAR 
TAREHE 6-8-2011










GLORIOUS WAKIWA NDANI YA KIWANJA CHAO CHA KUMTUMIKIA BWANA-THE ATRIUMS HOTEL, SINZA AFRIKASANA












----------------------------------------------------

Thursday, January 12, 2012

UPENDO KILAHIRO ACHOMOKA NA "JICHO LANGU"

Yule Mwanamuziki Nguli wa nyimbo za Injili anyefanya Muziki wa Injili kwa Level za Kimataifa Upendo Kilahiro ametoa Albam yenye nyimbo 10 kali za Injili. Katika Albam hiyo iliyoanza kupatika mwishoni mwa mwaka jana imetoa kivingine tofauti na kazi zote upendo aliziwahi fanya kwenye albam zilizopita.
Baada ya kutamba na nyimbo za kuabudu katika Albam zilizopita, Upendo Kilahiro mmoja wa Mapacha Watatu amesema Albam hiyo yenye hadhi ya Kimataifa ina nyimbo kumi zenye muunganiko wa lugha kuu 3, Kiswahili, Kiingereza na Ki- Zulu imeifanya albam hiyo kuwa ya kipekee zaidi.


Albam hiyo inapatikana madukani kuanzisa sasa, kwa mawasiliano zaidi ya usambazaji wa albam hii wasiliana na Blog hii chini ya Ze Blogger Papaa.

Kazi ni kwako.