GLORIOUS ANIMATION

Events

GLORIOUS CELEBRATION
Tumefanya matamasha mbalimbali toka tumeanza huduma hii ya uimbaji. Baaddhi ya maeneo tuliyofanya ni kama ifuatavyo

2011
1.  Kanisa la WordAlive, Sinza, Dar es Salaam, Tanzania
2. Christian Church (CC), Upanga, Dar es Salaam, Tanzania
3. Mwanza katika Tamasha la Street University lililoandaliwa na Mkurugenzi wa Global Publisher, Shigongo.
4. The Atriums Hotel, Sinza, Africasana, Dar es Salaam, Tanzania. Hapa tumekuwa tukifanya kila Ijumaa.
5. Tuzo za Muziki wa Injili Tanzania 2011
6. Kongamano la Vijana Kibaha lililoandaliwa na makanisa ya KKKT katika shule ya sekondari ya Filbert Bay
7. Kongamano la Vijana Arusha lililoandaliwa na Kanisa la TAG Bethel
8. Send Off mabalimbali
9. Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B.
10. Maafali ya Kidato cha nne Upanga






No comments:

Post a Comment