GLORIOUS ANIMATION

Thursday, January 12, 2012

UPENDO KILAHIRO ACHOMOKA NA "JICHO LANGU"

Yule Mwanamuziki Nguli wa nyimbo za Injili anyefanya Muziki wa Injili kwa Level za Kimataifa Upendo Kilahiro ametoa Albam yenye nyimbo 10 kali za Injili. Katika Albam hiyo iliyoanza kupatika mwishoni mwa mwaka jana imetoa kivingine tofauti na kazi zote upendo aliziwahi fanya kwenye albam zilizopita.
Baada ya kutamba na nyimbo za kuabudu katika Albam zilizopita, Upendo Kilahiro mmoja wa Mapacha Watatu amesema Albam hiyo yenye hadhi ya Kimataifa ina nyimbo kumi zenye muunganiko wa lugha kuu 3, Kiswahili, Kiingereza na Ki- Zulu imeifanya albam hiyo kuwa ya kipekee zaidi.


Albam hiyo inapatikana madukani kuanzisa sasa, kwa mawasiliano zaidi ya usambazaji wa albam hii wasiliana na Blog hii chini ya Ze Blogger Papaa.

Kazi ni kwako.