GLORIOUS ANIMATION

About Us

Glorious Celebration ni kikundi cha waimbaji wa nyimbo za injili. Kikundi hiki kimeunganisha vijana kutoka makanisa tofauti nchini Tanzania.

Kikundi hiki kipo chini ya Askofu Mwakang'ata wa kanisa la Full Gospel Victory Church lililoko Chang'ombe jijini Dar es Salaam

Glorious Celebration ilianzishwa mwaka 2011 kwa lengo la kumtangaza Kristo kwa njia ya uimbaji. Pia kinapeleka ujumbe wa Kristo kwa jamii kwa njia ya uigizaji.

Tumekuwa tukitoa huduma zetu katika makanisa, matamasha, mashuleni, mitaani na hata majumbani. Tupo tayari kufanya kazi ya BWANA katika mazingira yoyote na mahali popote.

MUNGU AWABARIKI

No comments:

Post a Comment